Nimezaliwa mwaka 1986 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM
Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 5 nina kaka 1
Ninaishi KIGAMBONI na WAZAZI
Mtaani kwangu najulikana kwa JINA LA PACHA
Mimi nimesoma mapaka DARASA LA SABA
Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) MFANYABIASHARA
Mafanikio katika Fani:
Mpaka sasa nipo kwenye kituo cha watoto wa mtaani nafundisha dance na sarakasi kidogo.
Year: