ROMANI WILLBERTY
Jina La Utani:
ROMMY SHOKI
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
MTUNGA STYLE

Nimezaliwa mwaka 2000 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto kataika familia ya watoto 5 nina kaka 3 

Ninaishi ILALA BOMA na WAZAZI

Mtaani kwangu najulikana kwa ROMMY SHOKI

Mimi nasoma FORM ONE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) BADO NASOMA

Mafanikio katika Fani: 
YAMENISAIDIA KUNIVESHA NA KUNILISHA
Year: