Submitted by Bhoke on Jumanne , 18th Mar , 2014Je unafahamu muziki aina ya Soca? Na ungependa kuufahamu? Wiki hii Friday Night Live inakupa nyimbo kumi zinazofanya vizuri kwenye muziki wa Soca tukiwa na DJ Nicky HD kutoka East Africa Radio.