Submitted by Bhoke on Alhamisi , 29th Mei , 2014Ijumaa hii kwenye FNL tutakuwa na perfomance kali kutoka kwa Mad Ice, na atatambulisha wimbo wake mpya. Usikose Ijumaa hii sa nne usiku.