Usikose kuangalia Friday Night Live Ijumaa hii ambapo mshiriki wa Big Brother Afrika 2012 Julio ambaye sasa anafanya kazi za muziki atakuwepo kuzindua video yake mpya.