
Vicent Sir V
Vicent Sir V kutoka mo town pasua holla 5 kwa pacha wangu bad classic chars mjesh fundi wangu isaa a.k.a baba iddy mariam kahangwa na wajanja wote wa town enewz ndio mmmmmpango mzima.

Kaida Wa Melody Classic
Kama Kawaida Wa Melody Classic Tunapepeza Pepeza Pande Hizi Za Zenjiano Zanzibar Hatari Sana Na Halla Five Ndio Inayotuwezesha Kuinekana Pande Hizi Kama Vipi Wote Tuseme Hala Fiiiiiive.. Hapana Chezea Wa Melody Classic Wakali Wa KupepezaPepeza.

Selick Black
Niaaaje? unaangalia eNewz na Dominick Nyalifa ndani ya kioo cha kijanjaa! yaan kutoka pande za MANYONI town ni SELICK BLAC hapa wa WAZAWA CLASSIC, Gwara kwa DIVAH CHARITY, drama sasha,joz pinoh na homeboy smaylo EATV ndo chama letu hoooooollah!.

John Ndunguru
Hallo 5 zetu zinakwenda kwa wazazi wetu mr and mrs John Ndunguru, rafiki zetu Arafat, Richard, Angel na Tariq. Hapana chezea uncle Nyalifa.