Jennifer na Watoto
Hi, i am Jeniffer wa Arusha napenda nawapa hi kwa mama yangu kipenzi, mama Eve kimara Suca, Baba, brother Lester, Eve, Asia na Maria. Msiache kuangalia Enewz ndo mpango mzima.
Hamisi Dihapo
Naitwa HAMISI DIHAPO wa LINDI na keep watching EATV (enewz) holaaa 5 kwa funs wote wa tinga no. 1 ya vijana, holaaa.
Philipo Masatu
Naitwa Philipo Masatu wa Rwamlimi Musoma, holla 5 kwa baba yangu mdogo Masatu Lyabuhanga wa Dar, Mama Cos wa Musoma, Mama Eva wa Musoma, Dixon Busagaga wa Moshi, Mama Juma Tabora, watoto na mke wangu wa Musoma, Holla 5.
Ally Manyanya, Meja Gwimo
Ma name is Ally Manyanya, nipo na Meja Gwimo, we are watching eNewz ,all the way from Kigoma. hollaaaaa