Tunajadili makocha wa timu za ligi kuu iliyomalizika kutimuliwa ovyo, ambapo kati ya makocha 14, makocha watatu tu ndio waliobaki na timu zao kwa msimu mzima.