Hii ni moja kati ya shule za serikali zilizowahi, na tuanaamini itaendelea kutoa wanafunzi bora wa kitaifa, unajua ni wapi? kibaha sekondari, Ijumaa saa moja kamili katika SKONGA ya EATV pekee.