Region: 
Pwani
District: 
Bagamoyo District
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 100 mwaka mzima

Kampeni ya Namthamini 2021 imemaliza zoezi la ugawaji wa taulo za kike katika Shule ya Sekondari ya Matimbwa, Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani ambapo jumla ya wanafunzi 100 wamepatiwa taulo za kike kwa mwaka mzima.