Licha kupigwa vibaya na bondia wa Thailand April 19 mwaka huu, Francis Miyeyusho kupanda tena ulingoni May 10 kupigana na Mohamed Matumla.