Kutana na Masoud Masoud, mtangazaji wa redio mkongwe nchini akizungumzia kazi yake ya utangazaji na maisha yake kwa ujumla.