Region: 
Kigoma
District: 
Kigoma Ujiji
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 100 mwaka mzima

Kampeni ya Namthamini 2021 imefika mkoani Kigoma, Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji hadi Shule ya Sekondari Mwananchi na kutoa mchango wa taulo za kike kwa wanafunzi 100 mwaka mzima.