Region: 
Shinyanga
District: 
Kishapu District
Donation: 
Taulo za kike kwa wanafunzi 100 mwaka mzima

Shule ya Sekondari Mwataga ipo nje kidogo ya mji wa Kishapu na tukio la ugawaji wa taulo za kike katika shule hiyo liliongozwa na Afisa Elimu Sekondari wa wilaya hiyo, Davis Mashauri.

Kampeni ya Namthamini imetoa taulo za kike kwa wanafunzi 100 kwa mwaka mzima katika shule hiyo.