Jinsi ya kushinda Pesa kupitia PES ya MeridianBet

Jumamosi , 9th Mei , 2020

Wakati Euro 2020 ikiwa imeahirishwa, MeridianBet inakuletea kitu kingine kizuri zaidi wewe kuendelea kufurahia ubashiri, PES inakupa fursa nzuri ya kupata pesa kibao, ukiwa na Meridianbet unaweza kubashiri kwenye mechi kutoka vilabu vikubwa ulimwenguni na sasa timu za taifa.

Meridianbet

Bashiri matokeo ya mechi zako pendwa za PES zinazochezwa na wachezaji wa soka na timu halisi, hizi tayari ni timu kubwa na majina makubwa ambayo tayari ulikuwa ukibashiri kabla.

https://meridianbet.co.tz/en/betting inakupa ofa inayovutia ikiwa na hadi mechi 16 kila siku, kama vile Jumanne, Jumatano na Alhamis kwenye Ligi ya Mabingwa na Ligi ya Europa, kila mechi huchezwa kwa dakika 12 na ofa hii ni sawa na ofa zetu za kawaida na inajumuisha, matokeo ya mwisho, Magoli, nafasi mbili, beti mubashara na mengine mengi zaidi!

Ni wakati wa kuingia mchezoni na mabingwa wa soka Ulaya na timu kubwa za taifa kutoka ulimwenguni kote, tumeongeza pia kipengele cha kuona mechi moja kwa moja (Live Streaming), kwenye Meridianbet.co.tz kwa mechi zote za PES, hivyo unaweza kuhisi uko nyumbani tena.

Endelea kupata habari mpya kutoka nyumbani na nje ya nchi, pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako ya Android kwa kubonyeza mara moja tu.