Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne
Taarifa hiyo imetolewa leo Juni 09, 2022, na Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo ACP Jumanne Muliro.
Tazama video hapa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafanya uchunguzi wa tukio la Bunaza Manyanda (34) Msukuma, mkazi wa Charambe kwa Mbiku, anayedaiwa kumuua kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali tumboni rafiki yake wa kike Happiness Zakaria (23), na kisha naye kujiua.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ACP Muliro Jumanne
Taarifa hiyo imetolewa leo Juni 09, 2022, na Kamanda wa Polisi wa kanda hiyo ACP Jumanne Muliro.
Tazama video hapa