
Charles Christopher, aliyejitokeza kutapeli
Tapeli huyo aliyejitokeza kwenye familia hiyo anafahamika kwa jina la Charles Christopher, ambapo ndugu wameeleza kwamba alijifanya Afisa Upelelezi kutoka wilayani na kudai malipo hayo.
Akizungumza mtuhumiwa wa tukio hilo la utapeli amesema alifika nyumbani hapo baada ya kusikia limetokea tatizo hivyo aliwashauri hiyo milioni 3 itumike kwa ajili ya kwenda kwa mganga kumuagua mtoto huyo.