
Wakizungumzia tukio hilo baadhi ya mashuhuda wamesema kuwa wamemuona kijana huyo akipita amembeba mbwa huyo kama mbuzi na kuamua kufuatilia na kumkuta akichinja ambapo walitoa taarifa polisi na kufanikiwa kumkamata na kumpeleka ofisi ya kata Kashai kwa hatua zaidi.