Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Askari Polisi nane kizimbani kwa kutorosha madini

Jumatano , 13th Mar , 2019

Watuhumiwa 12  wakiwemo wafanyabishara wanne na Askari Polisi nane waliohusika na utoroshaji wa madini ya dhahabu kilo 319.59 yenye thamani ya shillingi bilioni 27 kinyume na sheria ya usafirishaji wa madini nchini, leo wamefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza.

Kesi hiyo namba 3 ya  mwaka 2019  ya uhujumu uchumi, rushwa pamoja na utakatishaji fedha inayowakabili watuhumiwa kumi na mbili wakiwemo wafanyabishara wanne na askari  polisi nane, ambapo leo hii ikiwa ni mara ya  3 wamefikishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Mwanza na kutajwa na hakimu mkazi Gwai Sumayi.

Akizungumza nje ya Mahakama wakili wa utetezi Steven Makwega anaewatetea watuhumiwa namba 1 hadi 12 ameiomba mahakama kufuata kalenda ya mahakama kutokana na kesi hiyo kutotajwa Februari 25 kama ilivyokuwa imepangwa.

Kwa upande wake Hakimu Mkazi  Gwayi Sumayi, ametaka kuwepo mawasiliano baina ya wakili wa serikali na mawakili wakujitegemea wanaosimamia kesi hiyo kutokana na sintofahamu iliyotokea Februari 25 baada ya kesi hiyo kutotajwa.

Watuhumiwa wote 12 hawakutakiwa kujibu chochote kutokana na Mahakama hiyo kutokuwa na uwezo wa kusikiliza kesi hiyo na kurudishwa rumande hadi Machi 27 mwaka huu kesi itakapotajwa tena.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali