Alhamisi , 21st Oct , 2021

Dkt. Garvin Kweka kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili ni miongoni mwa waliochangia kwenye Mkutano wa TEHAMA leo Oktoba 21, 2021 katika ukumbi wa Simba ndani ya AICC jijini Arusha.

Dkt. Garvin Kweka kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili

Dkt Kweka ameeleza kuhusu jamii ya kidijitali juu ya namna ambavyo mtu anatakiwa kuendelea kwenda sambamba na mabadiliko ya Teknolojia pamoja na usalama wa afya.

Tazama Video hapo chini