Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Fahamu shule ya Kata iliyoongoza kitaifa

Jumapili , 22nd Jul , 2018

Kumekuwa na imani tofauti juu ya suala zima la elimu bora, wapo wanaoamini katika fedha kuwa ndio chanzo cha ufaulu kwa wanafunzi, kuna wanaoamini bidii na utayari wa mwanafunzi na wengine wanaamini katika uhodari wa walimu na wanafunzi.

Shule ya Sekondari Kisimiri

Shule ya sekondari ya Kisimiri, ni miongoni mwa shule 10 zilizofanya vizuri kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita, shule hiyo ni ya Kata na inapatikana mkoani Arusha wilayani Arumeru katika kijiji cha Kisimiri.

Mmoja kati ya walimu mwanzilishi wa shule hiyo, Mwalimu Emanuel Kisongo John ambaye kwa sasa ni  Afisa Elimu mkoa wa Mara, amezungumza na Weekend BreakFast ya East Africa Radio, ambapo amesema kuwa haikuwa 
rahisi kuifikisha shule hiyo katika matokeo hayo kutokana na jiografia ya eneo hilo lililozungukwa na jamii ya wafugaji na ndoa za utotoni.

Mwalimu Kisongo amesema kuwa mwalimu bora lazima uweze kubadili mitazamo ya jamii, na kuongeza kuwa ufaulu wa wanafunzi hauhitaji ada kubwa wala ubora wa majengo tofauti na wengi wanavyodhani.

"Mwalimu anapelekwa shuleni ili kusaidia wale wasiojiweza, huwezi kuwa mwalimu kama huwezi badili mtazamo wa jamii, huwezi kuwa mwalimu halafu unadai wingi wa wanafunzi ndio chanzo cha matokeo mabovu mbona wachina ni wengi lakini ndio wanatuongoza katika teknolojia", amesema Mwalimu Kisongo.

Shule hiyo mwaka juzi ilifanikiwa kushika nafasi ya kwanza, mwaka jana ilifanikiwa kushika nafasi ya tatu,  na mwaka huu imeshika nafasi ya pili kitaifa, mbali na imani ya wengi iliyojengeka kuwa shule za kata hazifanyi vizuri.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali