
Mgombea Urais wa Marekani kupitia chama cha Democratic.
Biden amepitishwa na viongozi Wastaafu wa chama hicho akiwemo Bill Clinton na Jimmy Carter.
Baada ya maamuzi hayo kwa sasa Biden atakuwa na kibarua cha kupambana na mpinzani wake ambaye wamekuwa wakirushiana maneno kwa muda sasa Donald Trump kutoka chama cha Republican.
Katika mkutano wa pili wa chama cha Democratic siku ya Jumanne, ilijumuishwa na hotuba za viongozi mbalimbali akiwemo Mke wa Rais Mstaafu Baraka Obama, Michelle Obama, ambaye alionesha kwa wazi namna ambavyo anapinga vitendo vya utawala wa Rais Trump.