
Waziri wa sayansi na teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa.
Prof. Mbarawa amesema hayo leo Jijini Dar-es-Salaam wakati alipotembele tume ya sayansi na tekinolojia kitengo cha DTBI na kusaini makubaliano mbalimbali ya kuboresha ubunifu kwa vijana.
Kwa upande wake, Mtendaji kuu wa tume ya sayansi na tekinolojia kitengo cha DTBI, Mhandisi George Mulamula amesema vijana waendelee kufanya juhudi katika kufanya ubunifu wa kiteknolojia ili kundana na kasi ya ukuaji katika tehama Duniani.