Mtakwimu Mkuu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bi. Ruth Minja (kulia) akizungumza na wanahabari hawapo pichani
Dominician Mkama - Mkuu wa Kanda Dar es Salaam kutoka Vodacom Tanzania, akitaja majina ya wasanii wanaowania tuzo hizo, ndani ya studio za EA Radio
Basi la mwendo wa haraka
Rais Magufuli akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Jenerali Michael Isamuhyo
Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Arusha (SSP) Nuru Kacharia akitoa takwimu juu ya hali ya usalama barabarani kwa wananchi wa Arusha wakati wa uzinduzi ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani iliyofanyika jana katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha.
Q Chillah ndani ya Planet Bongo ya EA Radio
Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya DCP Dhahiri Kidavashari
Rais Dkt John Magufuli
