
Machifu wa Kabila la Wasafwa
Hayo yamebainishwa na Chifu wa Kabila la Wasafwa mkoani Mbeya Roketi Mwashinga, na Chifu Msaidizi wa kabila hilo George Lyoto, ambao wote wamesema kuwa unampoamua kumnyanyasa mwanamke, unamnyima nguvu na kumdidimiza hali inayopelekea yeye kujiona ni dhaifu na hama maamuzi.
Kwa upande wake Mchungaji Marry Kategile ambaye ni Mkurugenzi wa Elimu Anuai kutoka Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), ambapo wamesema kuwa ukatili wa kijinsia bado ni mkubwa na hata usawa wa kijinsia katika masuala ya kiongozi wanawake ni wachache.