Maji ya Kilimanjaro yawapa maisha watu 45

Ijumaa , 8th Nov , 2019

Kampuni ya Bonite Bottlers, imewakabidhi zawadi ya pikipki, Televisheni pamoja na Katoni 50 za maji ya kunywa ya Kilimanjaro, wateja wake 45, kupitia droo yake maalum ya Shinda na Maji ya Kilimanjaro, waliyoiendesha Novemba 07, jijini Dar es salaam.

Washindi hao wamepatikana baada ya kuwa watumiaji wakubwa wa maji ya Kilimanjaro nchini, droo hiyo imekuja ikiwa ni hatua ya kutambua mchango wa matumizi ya maji ya Kilimanjaro.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mkuu wa Masoko na Mauzo kutoka Bonite Bottlers, Christopher Loiruk, amesema washindi wa zawadi ya Bodaboda, TV pamoja na maji ya Kilimanjaro katoni 50, wamegawanywa katika makundi mbalimbali kama vile, Zone A, B, C, D na E pamoja na Mkoa wa Morogoro.

Kupitia droo hiyo iliyochezeshwa, wafuatao ndiyo washindi waliojinyakulia zawadi mbalimbali.

Bodaboda.
Isidol Asenga - Kutokeea Kibada, Manford Mtwanga - Kariakoo, Baobab Sekondari - BagamoyoAlex Mrina - TipTop Mnazini, Mpili shop, Ayoub Mukiwa, Gasper Urasa - Sinza, Mama Bao - KibambaMercy Goodluck - UDSM, Water Word  - Juwata Street , Sophia Omary - Kingo Street, Mbanga Shop -

TV.
Gabriel Kavile - Banana, Flora Shop - Kariakoo, Marry Joseph - M.TipTop, Mushi Shop - Manzese TipTop, Kimaro Shop - Ilala, Lulu Store - Tabata, Godfrey - Mwananyamala, Mwacha Store - Tegeta Sabastina Store - Sinza Meeda, Tony Shop - Soko Street, Manka - SUA, Varelian Mallya.

Katoni 50
Elisha Shop - Kigamboni, Erick Shop - kariakoo,New Force Limired - Shekilango, Omuro Shop - Kijitonyama, GBF Hall - Tabata, Stella Sanga, APK - Tegeta, Lamama Store - Sinza, Kamugisha Store - Kinyerezi, Maganga - Kinonda, Sera Mkasholika - Kingo Street, Neema Roita - Mzumbe.