Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Masau Bwire ang'aka Ihefu 'timu mbovu' zaidi VPL

Jumatatu , 14th Sep , 2020

Msemaji wa wababe wa Mlandizi Pwani Ruvu Shooting Masau Bwire ameelezea kusikitishwa kwake na timu yake kufungwa na timu aliyoiita kuwa ni mbovu.

Msemaji wa wababe wa Mlandizi Pwani Ruvu Shooting Masau Bwire

Masau ametoa kauli hiyo hii leo alipozungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu akiwa njiani kurejea kutoka jijini Mbeya ambapo siku ya jana majira ya Saa 8:00 Mchana Ihefu FC waliwakaribisha Ruvu shooting katika muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania VPL na wenyeji kujihakikishia ushindi mapema dakika ya 7 ya mchezo kupitia Enock Jiah

"Mechi ilikuwa ya kawaida na timu tuliyocheza nayo ilikuwa na kiwango chake kilikuwa cha chini sana mpaka kiasi cha kusema kwamba miongoni mwa timu mbovu msimu huu ni pamoja na Ihefu lakini ajabu, shangaa tukapoteza mchezo. Lakini tukaamini kwamba kwenye soka hayo huwa yanatokea usipotarajia unaweza kupata au kupoteza'', amesema.

Aidha, kuhusu uwanja waliochezea Masau amesema kuwa uwanja ulikuwa wakawaida na wao kama wazoefu wa Ligi Kuu hawawezi kushangazwa na hali hiyo uwanja na kusifu kuwa upo kwenye viwango vya kuchezewa Ligi Kuu.

Kwa upande mwingine lawama zake akazielekezea kwa waamuzi wa mchezo huo kuwa kulikuwa na changamoto hivyo kuwataka waamuzi wasiwe tofauti na matakwa ya sheria hali inayoweza kupelekea kupata washindi wasiostahiki.

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari