Picha ya Mazazi ya Halloween yaliyotumika katika series ya “Squid Game”
Uongozi wa Shule umechukua hatua ya kuwaandikia barua wazazi wiki hii kuwajulisha kuwa mavazi hayo hayafikii miongozo ya Shule kwa sababu ya ujumbe wa vurugu unaohusishwa na vazi hilo.






