
Osei Kyei Mensah-Bonsu, mbunge nchini Ghana
Osei Kyei Mensah-Bonsu ni mbunge wa chama cha New Patriotic Party (NPP), alikuwa katika eneo hilo kuzungumza na wananchi juu ya mahitaji yao ikiwa ni pamoja na miundombinu duni.
Mbunge huyo amesema kuwa hana wasiwasi kuhusu tukio hilo kwa sababu vijana wangefanya vivyo hivyo kwa afisa yeyote wa serikali, na sio yeye pekee.