Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

'Mimi ni hazina kubwa, CCM watanilea' - Mashinji

Jumanne , 18th Feb , 2020

Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt Vicent Mashinji, leo Februari 18, 2020 amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama hicho Hamphrey Polepole.

Dkt Vicent Mashinji, baada ya kupokelewa katika Ofisi ndogo za CCM, Lumumba

Akiwa katika ofisi ndogo za CCM Dkt Mashinji amesema kuwa baada ya kutafakari kwa muda juu ya mwenendo wa siasa nchini, aliona chama cha CHADEMA bado kiko mbali katika kuchochea suala zima la maendeleo ya vitu na watu.

"Malumbano ya Asubuhi mpaka Jioni nilikuwa naona yanatuchelewesha, nikaona ni heri nije hapa Lumumba, niongee na wenzangu nione kama nitapata fursa ya kutoa mchango kwenye Taifa langu, mimi bado ni kijana miaka 47 ninaweza nikawa hazina kubwa ambayo CCM kinaweza kikanilea na kunikuza zaidi" amesema Dkt Mashinji.

Usiku wa kuamkia Disemba 20, 2019 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, alimpendekeza Mbunge wa Kibamba John Mnyika kuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho akichukua nafasi ya Dkt Mashinji.
 

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali