Jumapili , 5th Mar , 2023

Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameagiza kukamatwa kwa Mshindo Msola, Meneja Mauzo kampuni ya mbolea ya Minjingu na Meneja wa kanda ya nyanda za juu Kusini wa Mamlaka ya ima.

Mshindo Msola

Kamati ya ulinzi na usalama  mkoa wa Njombe wamefanikiwa kukamata shehena hiyo ya mifuko 776 iliyojazwa mchanga mithili ya mbolea ya Minjingu tayari kwa kuwauzia wakulima mkoa wa Njombe.

Mshindo Msola ambaye ni Meneja Mauzo wa mbolea za Minjingu ni miongoni mwa viongozi walioagizwa kuhojiwa na Waziri wa Kilimo nchini Hussein Bashe.