Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Mtoto wa Museveni aahidi kupambana na ufisadi

Jumamosi , 30th Mar , 2024

Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Jeneraali Muhoozi amebainisha kuwa atapambana na ufisadi ndani ya jeshi baada ya kuchukua nafasi ya kuhudumu kama Kamanda Mkuu wa Juu wa Jeshi la Uganda.

Jeneraali Muhoozi, Kamanda Mkuu wa Juu wa Jeshi la Uganda.

Katika hafla ya kukabidhiwa madaraka, Muhoozi ameapa kuimarisha ustawi wa wanajeshi kwa kupambana na tatizo la ufisadi pamoja na utawala mbaya wa rasilimali zilizopo, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na jeshi.

Jeshi la Uganda linashikilia nafasi muhimu kieneo, wakati likiwa na vikosi vya kulinda amani kwenye mataifa ya Somalia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambako vinakabiliana na makundi ya wanamgambo wa Kiislamu.

ItMuseveni mwenye umri wa miaka 79, ambaye ameiongoza Uganda kwa miaka 38 alimtangaza mtoto wake, Muhoozi Kainerugaba, mwenye umri wa miaka 49 kuwa mkuu wa Jeshi la Uganda (UPDF) wiki iliyopita.

Upinzani nchini Uganda umemshutumu Museveni kwa kumpandisha cheo mwanawe katika jeshi ukidai anamuandaa kuchukua uongozi wa kisisasa, madai ambayo Museveni amekuwa akiyakanusha. 
 

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja