Jumatano , 24th Mei , 2023

Mwanamuziki mkongwe maarufu kama Queen of Rock and Roll Tina Turner amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 83 nyumbani kwake Zurich Switzerland.

Tina Turner enzi za uhai wake

Mwanamuziki huyo alikuwa akisumbuliwa na maradhi kadhaa ikiwemo kufeli kwa Figo, saratani na kiharusi (Stroke)

Alipata umaarufu katika miaka ya 1960 na nyimbo zake ikiwemo Proud Mary na River Deep, Mountain High.
Ameacha watoto wanne.