
Ashura aliyenyongwa
Tukio hilo limetokea nyumbani kwa mwanamke huyo mtaa wa Nyamadoke, Kata ya Buswelu Manispaa ya Ilemela, ambapo mfanyakazi wa Aisha ajulikanaye kama Christina Paulo, amesema dada yake huyo amekuwa akigombana mara kwa mara na mzazi mwenzake ambae walikuwa wametengana.
Tazama video hapa chini