
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Katika ziara hiyo RC Kunenge, amebaini udhaifu wa kiutendaji wa wakala kutoka kampuni ya Amazon General supply service na ushirikiano usiojitosheleza miongoni mwa taasisi za umma zinazohusika kwenye mchakato mzima wa utoaji wa mizigo bandarini.
Kufuatia hali hiyo RC Kunenge ametoa masaa mawili kwa taasisi ya TICTS, kuhakikisha kontena zilizokwama zinatoka na kuwaagiza TRA kuichunguza upya kampuni ya Amazon Kama inakidhi sifa na uwezo wa kufanya kazi ya uwakala.
Hatua hii inakuja ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli, aliyetaka ujenzi wa stendi hiyo kukamilika kabla ya Novemba 30 mwaka huu.