Alhamisi , 16th Sep , 2021

Mfanyabiashara James Rugemalila ameachiwa huru leo Alhamisi Septemba 16, 2021, baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) kufuta mashtaka yaliyokuwa yanamkabili tangu Juni 2017.

Rugemalila akiwa na ndugu na wanafamilia baada ya kuachiwa huru

Rugemalira na wenzake walifikishwa Mahakamani na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) wakishtakiwa kwa makosa 6 ya Uhujumu Uchumi, ikiwemo kuisababishia Serikali hasara ya takribani Tsh. Bilioni 358.

Taarifa zaidi tunakuletea