Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Sababu za Rais kutopewa hela hadharani

Jumamosi , 8th Dec , 2018

Huenda ukawa unajiuliza kama kuna mipaka yeyote juu ya upokeaji wa zawadi yeyote kwa watumishi wa Umma, ndiyo maana ni mara chache kuonekana hadharani wakipewa zawadi, kama pongezi binafsi au kwa majukumu aliyoyafanya.

Rais Magufuli akiwa na Waziri Mkuu wakipokea hundi ya fedha.

Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Mungano Tanzania ya mwaka 1977, Rais wa Tanzania ndiye kiongozi mkuu wa watumishi wa umma nchini ndiyo maana hata wizara husika inayoongozwa na Waziri George Mkuchika iko chini ya Ofisi yake kama Wizara ya nchi ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora.

Kitu pekee kinachowafanya viongozi mbalimbali kuonekana kutopewa zawadi au pongezi ya fedha kwa kutimiza majukumu yake binafsi ni sheria ya maadili ya viongozi wa Umma namba 13, ya mwaka 1995 kifungu cha 12 kinachozungumzia marufuku ya kiongozi wa umma kujinufaisha kifedha.

Kifungu hicho cha 12, sehemu ya 2 inaeleza "kiongozi wa umma pale atakapo pokea zawadi yenye thamani ya zaidi shilingi elfu 50, atalazimika kuitaja aina ya zawadi na thamani ya zawadi hiyo" aidha sehemu 2(b) inamtaka kiongozi wa umma atakayepokea zawadi yenye thamani ya zaidi shilingi elfu 50, kuikabidhi kwa afisa muhasibu wa ofisi inayohusika.

Aidha sehemu 2(b) imeeleza "Afisa Muhasibu atalazimika kutoa maagizo kwa maandishi matumizi ya zawadi hiyo au jinsi ya kuishughulikia kwa njia nyingine yeyote."

Katika kuhakikisha viongozi wa umma wanakuwa na maadili wamekuwa wakilazimika kujaza fomu maalum kwa ajili ya tamko la rasilimali, ili kufahamu mali zinazomilikiwa na viongozi wakiwemo Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, na Wakuu wa wilaya.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi