Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Serikali kuikarabati Shule aliyosoma Mwl. Nyerere

Jumapili , 8th Dec , 2019

Serikali imeamua kuifanyia ukarabati mkubwa Shule ya Msingi Mwisenge, ambayo alisoma Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere ili iwe sehemu ya historia ya Tanzania.

Picha ya Darasa alilosoma Hayati Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.

Akizungumza mara baada ya kutembelea shule hiyo, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema  Shule hiyo ambayo ipo Manispaa ya Musoma wanaikarabati ili iwe sehemu ya historia ya Mwalimu Nyerere, pamoja na historia ya Tanzania kwa ujumla.

“Shule hiyo haiwezi kubeba historia ya Mwalimu Nyerere, endapo majengo na miundombinu ya shule hiyo haitakarabatiwa na kujengwa upya, Mipango ya kuifanya shule hiyo iwe sehemu ya historia ya Tanzania inaendelea serikalini na kwamba historia ya Baba wa Taifa itapatikana shuleni hapo.” amesema Waziri Mkuu.

Waziri Mkuu amesema kuwa uamuzi wa kuifanya shule hiyo iwe yenye historia hapa nchini, inatokana na uwepo wa viongozi mbalimbali waliosomea hapo akiwemo Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Jaji Joseph Warioba pamoja na Mzee Joseph Butiku.

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Kamanda wa Polisi mkoa wa Songwe Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Agustino Senga

Polisi waambiwa kazi yao ni kazi ya Mungu

Kiwanda cha sukari Mtibwa

11 wafariki dunia kiwanda cha Mtibwa

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini