Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Serikali yakanusha kikundi kuitishia Tanzania

Jumatatu , 21st Jan , 2019

Kwa siku kadhaa za hivi karibuni kumekuwa na taarifa inayosambaa kwa njia ya video ambayo inaonesha kikundi cha watu wakiwa wameketi, wakitumia lugha ya Kiswahili kutishia kuvamia na kushambulia baadhi ya nchi kadhaa za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania.

Msemaji wa Serikali Dkt Hassan Abasi

Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali imesema, "baada ya uchunguzi wetu tumebaini ilirushwa mwaka 2016 na Kituo cha Televisheni cha China (CCTV-Afrika), ikielezea hisia za uwepo wa viashiria vya kundi la Al-Shaabab nchini Tanzania.

Imeendelea kusema taarifa hiyo kuwa, msingi wa taarifa hiyo ya mwaka 2016 ni ripoti yenye kurasa 53 iliyoandaliwa na wataalamu wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Mashariki mwa Afrika (IGAD), ambayo hata hivyo haikujikita kwenye utafiti wowote wa moja kwa moja kuhusu Tanzania bali hisia za watu na makundi mbalimbali katika nchi za Kenya, Ethiopia na Somalia.

"Tumewasiliana na wamiliki wa CCTV-Afrika na wamekiri kuwa sio wao walioisambaza tena video hiyo, ikionekana dhahiri kuwa kuna watu wenye nia mbaya na nchi yetu wameitumiavideo hiyo ya mwaka 2016 kwa malengo yao hasi dhidi ya Tanzania".

Serikali imesema kuwa kwa kushirikiana na CCTV yenyewe inawataka wananchi kupuuzia taarifa zozote zenye lengo la kuipaka matope Tanzania na kuihusisha na kundi lolote la kigaidi.

Pia serikali imeusisitizia umma kuwa Tanzania iko salama, na vyombo vyake vya ulinzi na usalama viko makini kufuatilia na kuchukua hatua iwapo kuna viashiria vyovyote vya kuharibu amani.

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali