Mbunge wa jimbo la Ukonga Jerry Silaa na kulia ni Waziri wa Maji Jumaa Aweso
Kauli hiyo ameitoa hii leo Februari 2, 2022, Bungeni Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu katika Bunge la 12, kikao cha pili mkutano wa sita.
"Nampongeza kidhati Waziri wa Maji kwa kazi nzuri anayoifanya, Naamini wale ambao huwa wanapita pita kutoka zile PhD kama za Dkt. Musukuma, punde tu watampa Udaktari wa miradi ya maji," amesema Mbunge Silaa





