Naibu Kamishna wa polisi na Mkuu wa operesheni maalum za polisi, Daniel Nyambabe
Akiongea nje ya Mkutano wa wakuu wa polisi kutoka nchi 109 wanachama wa Umoja wa Mataifa unaofanyika mjini New York, Naibu Kamishna wa polisi na Mkuu wa operesheni maalum za polisi, Daniel Nyambabe amesema kwakuwa nchi nyingi bado zinahitaji ulinzi wa amani barani Afrika.
Kamishana Nyambabe amesema kuwa kupitia mkutano huo hiyo ni i fursa ya kuuboresha amani katika maeneo ya maziwa Makuu ambapo nchini nyingi zinawalizni wa amani hivyo kupita mkutano huo wataweza kujifunza mengi katika kuobresha vikosi vyao.
Akiongea katika Mkutano huo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema ameshuhudia kile alichokiita polisi werevu wakileta tofauti katika utawala wa sheria na kuandaa mazingira ya amani na maendeleo.

