Mvua
TMA imesema kuwa kutakuwa na upepo mkali katika maeneo ya ukanda wa Pwani wa Bahari ya Hindi, mikoa ya Lindi, Mtwara, Dar es Salaam, na Tanga.
Aidha, TMA imeongeza kuwa mvua itaendelea kunyesha kwa siku mbili zijazo kwa baadhi ya mikoa nchini Tanzania.



