Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

''Tumieni hata fursa ya kuoa/kuolewa'' - Makonda

Jumanne , 20th Aug , 2019

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amewataka watanzania kuhakikisha wanatumia fursa mbalimbali zilizotangazwa kupitia mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo ya Wakuu wa nchi Kusini mwa Afrika (SADC).

Paul Makonda

Makonda ameyabainisha hayo leo Agosti 20, wakati akimpongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa nchi 16, zinazounda jumuiya ya  SADC kwa madai ya kwamba kuna watu wamekuwa wakimhoji wao watanufaika vipi na SADC.

''Ukisikiliza vizuri hotuba za Rais Magufuli lazima utaziona fursa nyingi sana, sasa Rais aongelee namna ya kupata soko lako angalau uuze mahindi au Njegere, fursa ya Kiswahili nayo hujaiona? sasa wewe huwezi kufanya ya kiuchumi, huwezi kufanya ya kibiashara basi olewa angalau ile ya kuoa na kuolewa nayo huioni?, Rais hawezi kuja kukuwekea pesa mfukoni'' amesema Makonda.

Aidha Makonda amewataka wananchi,  kuendelea kudumisha suala la usafi kama ilivyokuwa kipindi cha mkutano wa viongozi wakuu wa SADC, uliohitimishwa Agosti 18.
 

HABARI ZAIDI

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Alex Mkama, akionesha vitu vilivyokuwa vimeibiwa

Fundi ujenzi mbaroni mauaji ya dada wa kazi

Wahitimu wa Mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT

Wahitimu JKT watakiwa kulinda miradi ya serikali