Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi mkoa wa Simiyu (RCO), Mrakibu Mwandamizi wa jeshi hilo, Israel Makongo
Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi mkoa wa Simiyu (RCO), Mrakibu Mwandamizi wa jeshi hilo, Israel Makongo, amewaambia wajumbe wa baraza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Itilima mkoani humo kuwa, mauaji ya watu hao yamefanyika kuanzia mwaka 2012 hadi mwaka huu 2021.
Tazama video hapa chini







