Jumapili , 2nd Oct , 2022

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Oktoba 2, 2022 amekagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa mkoa wa Lindi,  

  Pia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefanya ukaguzi huo akiwa na Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma .
 
Vilevile amekagua ujenzi wa mradi wa maji wa  kijiji  cha Namahema B wilayani Ruangwa mkoa wa Lindi.