Waziri MKuu Kassim Majaliwa, akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, na Mbunge wa Ngorongoro William Tate Ole Nasha
Mazishi hayo yamehudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, wananchi, ndugu jamaa na marafiki pamoja na viongozi wengine wa serikali
Ole Nasha alifariki dunia Septemba 27 mwaka huu jijini Dodoma, na taarifa zilieleza kwamba kifo chake kilisababishwa na shinikizo la damu,






