Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Waziri Mkuu awataka watanzania kuwa wazalendo

Jumamosi , 6th Aug , 2022

Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa amewataka Watanzania waendelee kuwa wazalendo kwa Taifa lao na washirikiane na Serikali katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wakazi wa Ikungi alipokuwa katika ziara ya kikazi kataka wilaya ya Ikungi mkoani Singida.

“Nataka niwasihi msikwamishe maendeleo, lazima kila mmoja awe na uzalendo na wilaya yake, nawapongeza madiwani kwa mpango wenu wa kupanga mji huu.”

Waziri Mkuu alisema halmashauri ya wilaya hiyo imeweka mpango wa kuendeleza mji wake, wananchi ambao maeneo yao yatachukuliwa kupisha mradi huo watafidiwa kulingana na taratibu za uthamini.

Alisema Mthamini wa Serikali ana vigezo vya fidia, hivyo aliwasihi wananchi hao kuacha tabia ya kukataa kila mthamini anayekwenda kufanya uthamini katika eneo lao.

“Lazima mthamini mipango ya halmashauri yenu ya kuuboresha mji huu, isitokee mtu mmoja au wawili wakakwamisha maendeleo ya wenzao wa wilaya nzima.”
 

HABARI ZAIDI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa