Alhamisi , 21st Oct , 2021

Waziri wa Afya nchini Malawi, Khumbize Kandodo Chiponda apigwa faini kwa kuendesha gari huku leseni yake ikiwa imeisha muda wake.

Picha ya Waziri wa Afya nchini Malawi, Khumbize Kandodo Chiponda

Waziri huyo ame-post risti katika ukurasa wake wa Facebook kuthibitisha kuwa ametii sheria bila kujali hadhi yake aliyonayo na kuwapongeza Polisi kwa kufuata kanuni za barabarani.