Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tusiwachukie watu wenye hela- Prof. Kitila   

Jumanne , 23rd Feb , 2021

Waziri wa Uwekezaji Prof.Kitila Mkumbo amesema moja ya changamoto inayokwamisha uwekezaji ni kutokuwawezesha wawekezaji wanapotaka kuanza kuwekeza mara baada ya kuwahamasisha juu ya fursa zilizopo,

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uwekezaji), Prof.Kitila Mkumbo

Akizungumza kwenye uzinduzi wa muongozo wa uwekezaji mkoa wa Singida akiwa ana muwakilisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema tangu ateuliwe kwenye nafasi hiyo, hiyo  ndiyo changamoto ambayo amekuwa akiipokea kutoka kwa wawekezaji.

“Hatua ya tatu, kuwawezesha wawekezaji na wakati mwingine hapo ndipo tunapofeli mnapiga kelele, mnapiga debe, mnahamasisha wanakuja, wakishakuja hapa tunaanza kuzungushana nenda ofisi ile, lipia kile anazungushwa miezi miwili mitatu , sita au miaka” amesema Prof.Kitila Mkumbo

Aidha  amewataka kutengeneza mahusiano baina ya uwekezaji yawe ya kuaminiana na kuacha roho za kizamani na kutowanyooshea vidole wawekezaji pale wanapoanza kupata faida.

“Mahusiano yetu na wawekezaji lazima tuaminiane na tuheshiamiane huwezi kuwa unamuita mwekezaji hapa kesho amewekeza, kijana wa watu amepata pesa mambo yake yamenoga unamuita fisadi unaanza kukasirika we hela umetoa wapi ilihali amefanya biashara, kwahiyo tusichukie watu ambao wana hela na mhe rais amesema watu wenye hela tuwapende kwasababu hakuna aliyekuja kuwekeza ili abaki hivyo alivyo” amesema Prof.Kitila

Sambamba na hilo Kitila Mkumbo amewasisitiza wananchi wa Singida hususan Mkuu wa Mkoa kutenga maeneo maalum kwa ajili ya uwekezaji katika zao la alizeti huku akisema kuwa kwasasa kipaumbele kwa alizeti hakiwezi kuwa kiwanda bali uzalishaji.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa