
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua mradi wa ujenzi wa zahanati ulipo katika kijiji cha Mibure pamoja na mradi wa maji wa kijiji cha Namakuku Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi.
Waziri Mkuu huyo yuko jimboni kwake Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka.